Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mpira umeisha?Niliandika mkanitukana sana
Wewe ni Simba kweli?SIMBA WENZANGU UBINGWA WA NBC PREMIER LEAGUE TUTAENDELEA KUUSIKIA TU.
Uwezo upoSi mpaka wawe na uwezo, unadhani ni rahisi kihivyo.. Nguvu Moja [emoji881]
Sisi tunachotegemea ni Mgunda aweke mikono mfukoni,hayo mengine hayatuhusuMtu ana Tshishimbi wewe unategemea KANOUTE [emoji16]
Huyo ni Simba lialia kama mzee MchachuWewe ni Simba kweli?
MmeshafungwaKiukweli Kama ndio Simba hii Bora ushabikie ihefu yaani Mara Mia yaani uwanjani Kuna wachezaji sio timu. Inakeraaaaaaaaaaaa Sana .
Mgunda wala siyo kocha ni mhamasishaji tu. Ngoja uone atakavyopuyanga kwenye substitution kipindi cha pili
TUmpe muda Gadiola Mnene, ata fanya makubwa.
Umenisema Azam niliporudishiwa walipoingia kina AjibuKwani mpira umeisha?
Njoo na kauli hiyo baada ya mpira kuisha