FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

Juzi walipoambiwa wamefunga goli la mkono walijifanya kuleta maneno ya shombo, "oo basi futeni hilo moja fanyeni yako matatu" mara "oo kikubwa point tatu" na watu hawakusema refa kapokea bahasha, yani mashabiki wa utopolo huwa wanaona makosa ya refa pale simba inaposhinda tu
 
Refa kamaliza mpira katoka nduki hakutaka kupeana mkono na wachezaji wala kuchukua mpira wake.
 
Acheni kulalamika kwa hoja za kijinga.

Mwanzo nilikuwa najua ni waarabu tu ndio ambao wakifungwa dakika za jioni huanza malalamiko.

Sasa nyie vyura wa Jangwani hii tabia mmeipatia wapi??
Tena pale inabidi tupeleke suggestion FIFA kuwa zilitakiwa kupigwa penalt mbili kwa kuwa Kapombe kachezewa foul na mchezaji mwingine kashika mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…