Gatabhanya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 2,644
- 5,178
Hii nchi rushwa kila sehemu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kucheza netball ni sawa.Jifunze urefa au nunua kamba ujinyonge mimi nitalipa.Kwakweli refa haoni aibu kuonesha mahaba yake na makolo. Sijui katokea wapi huyu kolo
Kweli karia anaua mpiraKari.a anaua mpira wa hii nchi kwa kutaka kufurahisha tumbo lake,makolo endeleeni kufurahia haya matokeo tusije sikia milio baadae
Za mchongo.Kikubwa point 3..
SimbaSC NguvuMoja
Utapata kisukari, wewe kubali tu maisha yaendeleePenat gani ile wakuuu naomba mnieleweshe
Tena pale inabidi tupeleke suggestion FIFA kuwa zilitakiwa kupigwa penalt mbili kwa kuwa Kapombe kachezewa foul na mchezaji mwingine kashika mpira.Acheni kulalamika kwa hoja za kijinga.
Mwanzo nilikuwa najua ni waarabu tu ndio ambao wakifungwa dakika za jioni huanza malalamiko.
Sasa nyie vyura wa Jangwani hii tabia mmeipatia wapi??
Sasa ulitaka akae hapo hapo kwani umeambiwa hapo ndio kwao?Refa kamaliza mpira katoka nduki hakutaka kupeana mkono na wachezaji wala kuchukua mpira wake.
Hawa watoto wanataka kutafuta furaha kupitia timu zingine baada ya kuona timu yao inasuasua.Tena pale inabidi tupeleke suggestion FIFA kuwa zilitakiwa kupigwa penalt mbili kwa kuwa Kapombe kachezewa foul na mchezaji mwingine kashika mpira.
Si kiuhalisia bado tunajenga team. Naamini baada ya misimu miwili Simba ya pira biriani itarudi.Kari.a anaua mpira wa hii nchi kwa kutaka kufurahisha tumbo lake,makolo endeleeni kufurahia haya matokeo tusije sikia milio baadae
Kumbe sheria inamlazimisha asalimiane na wachezaji? Utaanzaje kusalimiana na watu ambao mmekuwa nao pamoja kwa dakika 90? 😁Refa kamaliza mpira katoka nduki hakutaka kupeana mkono na wachezaji wala kuchukua mpira wake.
Fair Play.Kumbe sheria inamlazimisha asalimiane na wachezaji? Utaanzaje kusalimiana na watu ambao mmekuwa nao pamoja kwa dakika 90? 😁
Fair Play.Sasa ulikata akae hapo hapo kwani umeambiwa hapo ndio kwao?
Umeangalia takwimu za mchezo? kipa wa JKT kaokoa michomo mingapi? wewe ni shabiki maandaziMi ni simba ila huu ni usengee, michezaji haikutumia kabisa tunashinda ila sio kwa uwezo bwana
Oya hata SGR huwa haikimbii hivyo, kuna sehemu inasimama inapoza injini.Penyezeni bahasha hamna uwezo wa kushinda mkiwa sober