kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Mashabiki wa simba awana akili . Ukibebwa utakuwa incompetent . You wouldn’t know your weakness . Corruption is bad for a reason . Sema tupo na nyie hadi team ife
Awana ndo lugha gani mkuuMashabiki wa simba awana akili . Ukibebwa utakuwa incompetent . You wouldn’t know your weakness . Corruption is bad for a reason . Sema tupo na nyie hadi team ife
Nakaziamwenye link wakuu
Wachawi wapo hivyo achana naoUmemfunga Simba match 2 zote, umechukua ubingwa, umefika Fainali ya CRDB lakini bado Simba inakutesa.. maybe Simba ifutwe kabisa isiwepo ndio unaweza kuwa na amani.
Tangu lini Yanga ukaiona fair kwa Simba?This is not the way . Its about being fair
Lili alilofungwa kipa wa Simba mechi na Kagera....??Hili goli la simba ni match fixing kabisa
GUVU MOYA 👹Leo Timu bora kuliko zote Africa Mashariki na Kati kwa mujibu wa CAF, Mnyama Simba Sport Club anakutana na KMC katika mchezo wa NBC Premier League.
Simba inaingia uwanjani ikiwa inawania nafasi ya pili ambayo inaishikilia timu ya Azam hivyo ushindi pekee ndio utakaoiweka katika nafasi nzuri ya kuwa wa pili.
Mchezo huu utafanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Kaluta, mkoani Arusha ambapo Simba wameamua uwe Uwanja wao wa Nyumbani.
Karibuni
Sawa zezetaOna zezeta hili Aziz anawagonga kila siku hatusemi,juzi mmekandwa mbili huyo baunsa hakuwepo?
Simba goli walilifungwa na Kagera juzi Kati... Au na Kipa wa Simba naye alipewa bahasha...??Huyo Kipa wa KMC inawezekana ni shabiki wa Simba au kafuata maelekezo aliyoambiwa ya kibahasha
Linafanana na hili la kipa wa KMC kusubiria mchezaji wa Simba aje afunge?Simba goli walilifungwa na Kagera juzi Kati... Au na Kipa wa Simba naye alipewa bahasha...??