Mwaka jana Mayele alifunga goal Vs Ihefu Yanga akashinda 1 bila baada ya round ya kwanza Yanga kupoteza 2-1. Keeper wa Ihefu alitaka kuanzisha mpira mchezaji wa Yanga akaja kwa nyuma akaucheza Mayele akaweka kambani. Sijui unakumbuka? Vipi lile goal lilikuwa match fixing?Huyo Kipa wa KMC inawezekana ni shabiki wa Simba au kafuata maelekezo aliyoambiwa ya kibahasha
Lile si alimtemea mchezaji akafunga kirahisi...Linafanana na hili la kipa wa KMC kusubiria mchezaji wa Simba aje afunge?
Ulishasema alikuja kwa nyuma maanake hakuweza kumuona, huyu kipa wa KMC kapewa pasi ambayo hakuwa kwenye presha na mpira ulikuwa wa taratibu tu na mbele anaona vyema tu anayekuja. Ila kasubiri hadi Saidoo aje afunge.Mwaka jana Mayele alifunga goal Vs Ihefu Yanga akashinda 1 bila baada ya round ya kwanza Yanga kupoteza 2-1. Keeper wa Ihefu alitaka kuanzisha mpira mchezaji wa Yanga akaja kwa nyuma akaucheza Mayele akaweka kambani. Sijui unakumbuka? Vipi lile goal lilikuwa match fixing?
Wacha- mbuzi hawajawahi kumuona Bora.Yawezekana Beki Bora NBC LEAGUE ni Malone... mtu na nusu
Ulishasema alikuja kwa nyuma maanake hakuweza kumuona, huyu kipa wa KMC kapewa pasi ambayo hakuwa kwenye presha na mpira ulikuwa wa taratibu tu na mbele anaona vyema tu anayekuja. Ila kasubiri hadi Saidoo aje afunge
Sio decisive matches like these . Unajua all matches were not put in betting site . Due to fear of fixingMwaka jana Mayele alifunga goal Vs Ihefu Yanga akashinda 1 bila baada ya round ya kwanza Yanga kupoteza 2-1. Keeper wa Ihefu alitaka kuanzisha mpira mchezaji wa Yanga akaja kwa nyuma akaucheza Mayele akaweka kambani. Sijui unakumbuka? Vipi lile goal lilikuwa match fixing?
naskia mmeshushwa tena kwenye utatuMwaka jana Mayele alifunga goal Vs Ihefu Yanga akashinda 1 bila baada ya round ya kwanza Yanga kupoteza 2-1. Keeper wa Ihefu alitaka kuanzisha mpira mchezaji wa Yanga akaja kwa nyuma akaucheza Mayele akaweka kambani. Sijui unakumbuka? Vipi lile goal lilikuwa match fixing?
badala kupungua yanazidi duuIlikuwa deni magoli matano saivi deni ni magoli 6
Na iwakae sawa wajinga kabisa hao.Mabosi wa Simba akili itawakaa vizuri msimu ujao[emoji23]
Ndio matokeo hadi sasa Azam 2- Simba 1badala kupungua yanazidi duu
Wataona umuhimu wa kuwa serious maofisni na sio kuleta wachezaji wa ki propaganda.Na iwakae sawa wajinga kabisa hao.
Kwanza hawafai kuwepo hapo,waje watu wengine wanaojali matokeo ya uwanjani na si matumbo yao.