Sasa Mbona juzi tu hapo tarehe 8 ulikimbia Getto mrembo?Au sasa hivi ndio ki antenna kina washa?UNazungumiza Historia Mzee!
Unasahau Hata kwenye Historia pia Dollar Ilikuwa inafanana na Tsh zamani?
Unasahau hata US Dollar 1 iliwahi kuwa sana na Tsh 1..
Vipi kuhusu Sasa Hivi..
Tuzungimzie Yaliyopo Sasa Hivi acha Kubweka Leta Timu hiyo tarehe 15
Huyu Simba hata nikisema nilete timu hiyo tarehe atakimbiaUNazungumiza Historia Mzee!
Unasahau Hata kwenye Historia pia Dollar Ilikuwa inafanana na Tsh zamani?
Unasahau hata US Dollar 1 iliwahi kuwa sana na Tsh 1..
Vipi kuhusu Sasa Hivi..
Tuzungimzie Yaliyopo Sasa Hivi acha Kubweka Leta Timu hiyo tarehe 15
Dakika ya 74Dakika ya ngapi huko?
Teh 😃 😃 😃 wamesahau Mnyama ni 'second runner ' wa Cafcc siku chache tu zilizopita ila ni ndani ya huu msimu.UNazungumiza Historia Mzee!
Unasahau Hata kwenye Historia pia Dollar Ilikuwa inafanana na Tsh zamani?
Unasahau hata US Dollar 1 iliwahi kuwa sana na Tsh 1..
Vipi kuhusu Sasa Hivi..
Tuzungimzie Yaliyopo Sasa Hivi acha Kubweka Leta Timu hiyo tarehe 15
Dk 94, bado sekunde kadhaaMechi ingekua draw mpaka Sasa isingeongeza dakika Tano pekee,Camara kapoteza muda mwingi
Hamwendi popoteNyie mazuzu endelezeni kelele zenu sie waleeeee
Leo mliwaahidi shingapi hao madogo?Leo makolo tumeshinda kwa bahati
Bahati ni muhimu sana maishani....Leo makolo tumeshinda kwa bahati
Mliwazuia watu kuingia kufanya mazoezi kwa sababu ganiSasa Mbona juzi tu hapo tarehe 8 ulikimbia Getto mrembo?Au sasa hivi ndio ki antenna kina washa?
Na tarehe 31 tunashinda bado mtasema bahatiLeo makolo tumeshinda kwa bahati
Kikosi amepanga HersiiLeo mliwaahidi shingapi hao madogo?
Tunawataka finalNa tarehe 31 tunashinda bado mtasema bahati
Na tarehe 15 June lazima tushinde, iwe ni mezani kwa TPBL au Uwanjani. Nayo muite ni bahati vyura nyie
Mliwazuia watu kuingia kufanya mazoezi kwa sababu gani