FT | Simba SC 1-0 Singida Black Stars SC | NBC premier League | KMC Complex | 28.05.2025

Sasa tunasubiri ule wimbo wenu wa hatuchezi kimburu nyie🤣🤣🤣😂
 
Game zote za hawa vitoga wa maandishi matatu huwa zinakuwa ngumu.

Walitaka tuangushe point ili watangaze kushiriki Derby
Derby hata tukisema tucheze mtakimbia
 
Aibu naona mimi
 
Sasa Mbona juzi tu hapo tarehe 8 ulikimbia Getto mrembo?Au sasa hivi ndio ki antenna kina washa?
Mechi ijayo ya ligi kuu ni dhidi yenu mamburula ...siku hio Sasa ndio tutaonesha maaana ya ubaya ubwela ni nini...lazima mwage machozi ya damu mamaeh...
 
Hii ndio Simba iliyofika fainali ya kombe la loser?

Ilifikaje fikaje kama wanaweza kubebwa hivi na kuishia kupata goli moja?

Zile tanotano zimeishia wapi?
 
Mechi ijayo ya ligi kuu ni dhidi yenu mamburula ...siku hio Sasa ndio tutaonesha maaana ya ubaya ubwela ni nini...lazima mwage machozi ya damu mamaeh...
Halaf refarii ni 3
 
Game zote za hawa vitoga wa maandishi matatu huwa zinakuwa ngumu.

Walitaka tuangushe point ili watangaze kushiriki Derby
Hivi mna nini cha kuogopwa na Yanga??

Yanga wanatetea haki.
Na shabiki yoyote wa ball lazima ataelewa!
Hatuna cha kuwahofia ninyi hata kimoja tena kipindi hichi ambacho quality yenu iko chini sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…