FT | Simba SC 1-0 Singida Black Stars SC | NBC premier League | KMC Complex | 28.05.2025

Makolo huwa wanadhani CAF Kuna warefa washenzi kama akina heri sasii wawabebe mwishowe wanaishia kulia tu.
 
Simba bado hawana wachezaji wa kuanza kumiliki mpira kuanzia chini. Bado miguu inatetemeka
 
Madogo wamechijiwa baharini hii team bila mbeleko haitoboi!
 
Ili jamaa lirefu wanaliita Chamou hamna kitu[emoji23][emoji23] Kumbe ndo maana kocha wa Berkane alisema Simba wakiifanyia high pressing wanakunyakunya ni hii mibeki yao

Mtalaumu sana marefa wakubwa wa maana
 
Huyu Jonathan Sowah mbona sioni kama ana kiwango cha kuchezea Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…