FT | Simba SC 1-0 Stellenbosch FC | Nusu Fainali CAFCC | New Amaan Stadium | 20.4.2025

kwani ule nao ulikuwa mpira ama kabumbu anzia timu hadi uwanja vyote vilikuwa hovyo

leo tofauti timu ni hovyo ila pitch iko sawa sana
Wewe wasema, na akili jumlisha mdomo, ID na device unayotumia ni vyako. Very free
 
Badala mjadili mambo ya maana mnajadili simba na Yanga kenge kweli. Badala mjadili namna ya kufurika kisutu tarehe 24 mnahangaika na mamipira ya bongo
 
Huyu kipa wa Stellenbosch kashaanza ufala wa kupoteza muda, wa israel wa buza wapo kimya ila angekuwa kipa muarabu ungesikia kelele zake
Mbona kama refa anachezesha kwa emotions
 
Mechi sii rahisi hii. Inabidi tutumie ukubwa wetu kubadili matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…