FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

Wale washenzi wanaweza kuingia full mkoko wakati sisi tunaenda kukamilisha ratiba tukiwa na uhakika wa kuvuka. Tukienda kwa mentality ya kupambana kulinda heshma ya club sawa.
Kwa simba hii kimeo, horoya atampiga bao hizii:5 mkono
 
TANGAZO
Kesho hatutaki dunduka yeyote atuanzishie uzi, tutaanzisha wenyewe baada ya dakika 3 na kuendelea. Baada ya mchezo kuanza. Mzingatie hili Tangazo. Tuna letu jambo....
Kesho ni siku ya wanawake . Uzi wa kushuhudia timu za wanawake zinacheza ni lazima uanzishwe na wanaume .
 
Well done Simba,mna mechi ya final na Horoya na sijui mtaweka strategies gani ili mshinde?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…