FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

Nimesikitika sana leo baada ya kuangalia picha yangu ya utotoni nikiwa na jezi ya vipers na kugundua kuwa hii ndio timu yangu ya kindakindaki ya udogoni,miaka tote sina timu kumbe chama langu lipo ila nilifichwa kwa makusudi !! sasa nahamishia nguvu zangu kusapoti vipers.

Wakati nimetulia natafakari swala hili kuna ndugu akining'ata sikio"oya ogopa matapeli baby zako wote upande wa Baba walikuwa Raja" hapa nipo njia ya panda nimeamua nizisapoti zote baada ya mechi za makundi niichague timu moja rasmi.
 
Tushaanza kusogea, tupigr vyombo kwanza ndo tuzame ndani.
 
Yani Simba akifungwa ama kutoa sare ndo basi tena
 
Msishangae leo nusu ya uwanja wakiwa wamevaa masuti. Makampuni mengi yana ushirikiano mzuri na Simba na leo yanakuja kutoa sapoti.
 
Msishangae leo nusu ya uwanja wakiwa wamevaa masuti. Makampuni mengi yana ushirikiano mzuri na Simba na leo yanakuja kutoa sapoti.
Yes, akina Mo Extra, Mo sabuni, Mo Ukwaju, Mo kashata, Mo bodaboda pamoja na Vunja bei. Nusu ya uwanja ni suti tupu!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Yes, akina Mo Extra, Mo sabuni, Mo Ukwaju, Mo kashata, Mo bodaboda pamoja na Vunja bei. Nusu ya uwanja ni suti tupu!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Na pisi kali zote za mjini zitakuwepo. Msiige tu maana nyie hamna hata chembe ya aibu
 
Msishangae leo nusu ya uwanja wakiwa wamevaa masuti. Makampuni mengi yana ushirikiano mzuri na Simba na leo yanakuja kutoa sapoti.
Weka ufafanuzi vizuri wa namna suti zinavyotakiwa kuwa, raia wanaweza wakajua umemaanisha hivi
 
mechi saa ngapi??
 
Attachments

  • 1678193954332.jpg
    36.5 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…