FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

Wapuuzi kweli kweli...sawa wamepata walichokita...huyo kayoko kama amehongwa basi hafiki nazo mbali...macho makubwa kama kinyonga...
 
Chamaaaaaa for life....
Chama mmoja ni kina dube 2000
 
mbona simba anapoint 30 na yanga ana 37 kwa akili yako hapo ni tofauti ya point 4

Ulivyokua na akili ndogo hiyo mechi ambayo hujacheza umeshaipigia mahesabu kwamba tayari mmeshashinda
Kwahyo na ww unajiona kwamba mechi zote utashinda....
 
Yani nitakua nafatilia humu mpira kuliko kuangalia camera za Azam...nimeangalia kipindi cha pili ni utopolo mtupu...bora mechi za nje huko...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…