FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

Namungo kama kawaida msimu huu,sisi kazi yetu ni kwafungulia njia nyie mnakuja kuteleza. Tulianza kwa Azam mkaja mkampiga, Simba nae tayari tushamtoa bikra sasa leo mpite mule mule kama ilivyokuwa kwa Azam.
 
Usikimbie uzi
 
Kila la kheri Mnyama.
Nimeoteshwa kuwa Leo Baleke ataingia kunyavu mara tatu
 
Nashauri BALEKE apewe muda wa kutosha ktk pitch, huyu jamaa analijua goli.

Ikibidi sub ya PHIRI, basi iwe kwa SAIDOO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…