FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

Kama shabiki wa simba yaliyo kuwa yaendelea baada ya kufungwa na mtani ni Mazito wachezaji kuwa sawa
 
Aahh.. Katoka ngoma kaingia boko. 😂🤣
Huyu kocha baada ya hii game tu aporwe timu, haijalishi matokeo tutakayopata.

Maana sihesabii hata tukishinda, watot wameamua kukaba kulinda goli, ila wakiamua kuja wanaweza kupata goli jingine.
 
Saidoo na chama hawapaswi kucheza pamoja, kwa mira wa cha na kiungo cha simba, anahitajika mnoo, tizama chama akicheza anashuka chini anaunganisha timu anazunguruka pale kati kufunika kosa la kutokuwepo namba 8 mchezeshaji.
Asante Kwa taarifa...tutalifanyia kazi
 
Huu ujinga tunaoumia ni sisi huu mpira gani wa simba anacheza
Huu upuuzi tulisingizia Kocha haya leo tena tunasingizia nini Huu upuuzi..
Hii sasa sio simba ni Paka..
 
Saidoo na chama hawapaswi kucheza pamoja, kwa mira wa cha na kiungo cha simba, anahitajika mnoo, tizama chama akicheza anashuka chini anaunganisha timu anazunguruka pale kati kufunika kosa la kutokuwepo namba 8 mchezeshaji.
Ni kweli ila tunahitaji alternative za kuleta uahindani kimataifa.
 
Hivi huyu Baleke anahitaji nafasi ngapi ili afunge walau goli moja? Naona bench linamwita!
 
Back
Top Bottom