FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

Mbona kama unajifariji mkuu? Yani round ya kwanza ambayo wachezaji Wana nguvu, mnasua sua... Hiyo round ya pili wataweza? Au mtasajili timu nzima?
Simba haihitaji kusajili timu nzima. Muda utatoa majibu.
 
Kawaida tuu mbona..au nakutisha...
Nyie mnaochukulia utani wa humu serious ndo mnapata visukari...mimi natype naendelea na shughuli zangu....just fo fun
Karibu supu jumapili
giphy.gif
 
Jamani eee alamsiki....ngoja tupike tule tunenepe....
Bora kuenjoy maisha mafupi hayaaa...
Tumeipenda wenyewe....
 
Bali inahitaji nini?
Usajili wa 2 players wakizidi sana 3 na kocha mwenye mbinu. Simba imepoteza mechi moja msimu huu kama mpinzani wake Yanga. Ligi ndo kwanza ipo mwanzoni. Muda wa kujiimarisha na kuimarika na kufanya vizuri upo wa kutosha.
 
Back
Top Bottom