Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Tabuleleeeeee laaaaaaaaVinye bwana...mlitaka hata hii point moja tusipate muongee zaidi...
Haya sare hyo mkashone vijora...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tabuleleeeeee laaaaaaaaVinye bwana...mlitaka hata hii point moja tusipate muongee zaidi...
Haya sare hyo mkashone vijora...
Kawaida tuu mbona..au nakutisha...Una roho ngumu
Simba haihitaji kusajili timu nzima. Muda utatoa majibu.Mbona kama unajifariji mkuu? Yani round ya kwanza ambayo wachezaji Wana nguvu, mnasua sua... Hiyo round ya pili wataweza? Au mtasajili timu nzima?
Wenyewe kwa wenyewe wanatafutana mchawi ninani bwahaaaa!!Na wanatukana sana inabidi moderator wawapige banned 😂
Hongereni nyie mnaobebeka...jana mlibebwa mkawanyima coastal ushindi wao...Msomali amejitahidi sana kuwabeba tatizo hambebeki
Hawezi kurudi mawindoni, maana ni yeye ndio anawindwa. Lazima ajifiche.Hamna kunena kwa lugha wala nini mnyama anarudi mdogo mdogo mawindoni
Karibu supu jumapiliKawaida tuu mbona..au nakutisha...
Nyie mnaochukulia utani wa humu serious ndo mnapata visukari...mimi natype naendelea na shughuli zangu....just fo fun
Bali inahitaji nini?Simba haihitaji kusajili timu nzima. Muda utatoa majibu.
Daaah🤣🤣Mkuu hivi wale Makaka mashabiki wa 5imba wako wapi siku hizi?
Scars, Greatest Of All Time na DullyJr.
Ukiwaona naomba uwaambie nawasalimia. 😅😅
Supu ya mambuzi na mang'ombe mloyachinja kwa kafara...nani anataka...kanyweni wenyewe mnenepe... 🤣Karibu supu jumapili![]()
Hahahaaa. Mmecheka sana yaani rafiki.Imekula kwao mazimaaaa hahahah!
Furuuuuu makasirikoooo wana thiiiiiimbaaaaa buanaaa🥴🥴🤣
Nakusalimia Mtani.Daaah🤣🤣
😆😆😆🤪Kawaida tuu mbona..au nakutisha...
Nyie mnaochukulia utani wa humu serious ndo mnapata visukari...mimi natype naendelea na shughuli zangu....just fo fun
Haya bhana mtani 😂Nakusalimia Mtani.
Usipotee namna hiyo bana. 😂😂
🤝Haya bhana mtani 😂
Usajili wa 2 players wakizidi sana 3 na kocha mwenye mbinu. Simba imepoteza mechi moja msimu huu kama mpinzani wake Yanga. Ligi ndo kwanza ipo mwanzoni. Muda wa kujiimarisha na kuimarika na kufanya vizuri upo wa kutosha.Bali inahitaji nini?