FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

Huyo aziz kashakula matobo kama yote..au unataka picha? Na huyo jujui jiara ya kutosha unataka picha?
Au kwa sbb sisi huwa hatuoni kama ni habari maana mpira hauna macho...
Mkuu inawezekana ni opinions tu hizi.......... evidence ni muhimu sana kuliko hizi hearsay πŸ˜”
 
Washenzi hao jwaneng...kwahyo na nyie mlivyotufunga mlipoenda Ihefu mkala 2 kwa 1 mlikua mmetuloga?
Tulianza kufungwa na Ihefu, ndipo hasira zetu tukazieleka kwenu na kuwapasueni bao tano, acha kujisahaulisha.
 
basi sawa...kwahyo...ile droo kule kagera vipi..
Kwahiyo siku hizi mpaka droo munaivalia kibwebwe!

Chamsingi, mushachezea kichapo na tuko mbele yenu kwa idadi ya point 7, hivyo TFF watupe tu kombe letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…