Hongereni sana ,leo mmeokota dodo chini ya mpera ....Tunacheeka kwa dharaaau. π π π
[emoji870]Kibu kawabinua......hahahhahah nimependa sana hata kama tumepoteza
Mdomo umewaponzaHii ni aibu ya mwaka, ndio mpira ulivyo tukubali tu wanasimba wenzangu leo wametuotea.
π€£π€£π€£Kwani shem Shimba ya Buyenze ww ni timu gani? Au mchangia popote...
Wazee wengi hawakimbiii. Kapombe, Hussein, chama, saido wote hao ni hewa.Ila kiukweli kabisa yule Inonga achunguzwe, kufungwa ni kawaida lakini huyu beki ni tapeli anauza timu.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Dah....utabiri wako utatimia.Utabiri wangu: Leo simba tutafungwa goli za kutosha. Na baada tu ya kufungwa, uongozi wa klabu utamtimua kocha Robertinho.