FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Tuna viongozi wapuuzi sana kocha kapangiwa kumuanzisha Manula.
Acha kutupia lawama viongozi, hakuna kiongozi aliyelazimisha manura acheze ila ni ujinga wa makocha wenyewe juu ya kumuanzisha mchezaji anakaribia mwaka hajacheza kuja kucheza game kama hii,..

Mbinu za makocha wetu hata hua zizioelewi mara zote timu ikiwa na mpira inaonekana ila ikiwa haina mpira ndo shida inaanzia hapo na kwenye hilo toka mwanzo watu walipiga sana kelele toka mechi ya Simba day, sema hawakuwahi kukutana na timu inayotoa kipigo kwenye ujinga kama huo leo sasa ndo tumeona kua hatuna kocha mwenye mbinu wala sio ishu ya kacheza fulani au fulani kachoka ila ni mbinu tu za kocha ni haba
 
SIMBA semeni ukweli kati ya Ahly na YANGA nani zaidi?
Huwezi ukalinganisha yanga na Al Ahly!! Tofauti ni kama ya usiku na mchana!! Nawapongeza yanga kwa dhati, lakini wao kujilinganisha na Al Ahly bado sana!! Acha Al Ahly hata wao kudhani ni bora zaidi ya simba siyo kweli. ila kwa leo game plan waliyokuja nayo imeipiku ile ya Simba!! Usisahau Ujerumani iliwahi kumfunga Brazili 7-0 tena akiwa kwao!! Hilo pekee halikuwafanya wao wawe bora kuliko Brazil japo kwa mechi hiyo walikuwa bora!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…