FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

IMG-20231105-WA0066.jpg
 
Yani Simba ibadilike,waamue kupambana sana sana ili wachukue ubigwa.vinginevyo watapoteza mashabiki na kupoteza mapato sanaaa
Hakuna shabiki anayepotea we sema morale ya mashabiki kwenda uwanjani itashuka kipindi ambacho timu inafanya vibaya mfululizo.
 
Huwezi ukalinganisha yanga na Al Ahly!! Tofauti ni kama ya usiku na mchana!! Nawapongeza yanga kwa dhati, lakini wao kujilinganisha na Al Ahly bado sana!! Acha Al Ahly hata wao kudhani ni bora zaidi ya simba siyo kweli. ila kwa leo game plan waliyokuja nayo imeipiku ile ya Simba!! Usisahau Ujerumani iliwahi kumfunga Brazili 7-0 tena akiwa kwao!! Hilo pekee halikuwafanya wao wawe bora kuliko Brazil japo kwa mechi hiyo walikuwa bora!!
Ushalewa mkuu au Bado? Mana nimekutania na Scars hapo bamaga Yuko chakalii. Haamini
 
Back
Top Bottom