Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Majeruhi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manula amecheza kwa sababu ya uhuni wa unaofanyika nje ya uwanja na watani zetu. Mambo ya kuwahiwa tu.Hta mm nahisi hivo, mtu hana match fitness hlf anaanza kweli
😆😆😆 Semaji linalia chooni mda huu
Ile ya uto ilikuwa Simba 6- 0 Yanga. Mwewnyekiti wa klabu ya Yanga enzi hizo alikuwa ni maarufu sana, jina lake ni TABU MANGARA!! Baada ya dk 90 mzee Tabu Mangara hakuweza kusimama kutoka kwenye kiti chake!! hakuamini kilichotokea!!
wameshachukua 3Utopolo wana points zetu 6.
Kavuu Imepenyaaaa!! Maumivuu yakeeee sasa🥴🥴🥴🤣!Kumbe nawe ni mwananchi 😃,kunywq fanta baridi hapo kwa mangi nitakuja kulipa
Hivi Genta yupo kwenye ban ama? Sijaona uzi wake wa kiintelijensia hata mmoja. Au tusubiri mpaka kesho?Poleni sana mashabiki wote wa simba mnaojitambua. Muhimu mtambue tu huu mpira wa miguu. Na siku zote una matokeo 3; kushinda, kufungwa, au kuto sare.
Kipindi unachukua ubigwa na aliyekulala Leo vitano utampa nn Ili akuachie ubigwa.Hata game plan yake haikuwa nzuri kwa hii mechi.
Muhimu tujipange tuchukue ubingwa wa ligi huu msimu angalau tutazima hizi kashfa.
Sema mpira raha sana, kuna Yanga mwenzangu alikuwa kiti cha nyuma yangu, wakati tunashangilia goli la tano alipigwa konzi, mpaka mpira unaisha hajajua kapigwa na nani 😅😅😅Wenzio yanga waliganda hapa wamenunuliwa mo energy wamerudi makwao[emoji23][emoji23][emoji23]
si kwa kelele zile[emoji3]
Afadhali umekuwa mkweli Mtani.Tumestahili kufungwa. Leo ndio nimethibitisha Simba hakuna mwalimu. Ilistahili kupigwa hata 8
Hamsa hamsa 😆😆😆
Hakuna shabiki anayepotea we sema morale ya mashabiki kwenda uwanjani itashuka kipindi ambacho timu inafanya vibaya mfululizo.Yani Simba ibadilike,waamue kupambana sana sana ili wachukue ubigwa.vinginevyo watapoteza mashabiki na kupoteza mapato sanaaa
Ushalewa mkuu au Bado? Mana nimekutania na Scars hapo bamaga Yuko chakalii. HaaminiHuwezi ukalinganisha yanga na Al Ahly!! Tofauti ni kama ya usiku na mchana!! Nawapongeza yanga kwa dhati, lakini wao kujilinganisha na Al Ahly bado sana!! Acha Al Ahly hata wao kudhani ni bora zaidi ya simba siyo kweli. ila kwa leo game plan waliyokuja nayo imeipiku ile ya Simba!! Usisahau Ujerumani iliwahi kumfunga Brazili 7-0 tena akiwa kwao!! Hilo pekee halikuwafanya wao wawe bora kuliko Brazil japo kwa mechi hiyo walikuwa bora!!
Wasingeshinda leo goli nyingi ndo ungejua maana halisi ya malalamiko.Najua mlivyo na roho mbaya mtaziona hizo tu, hamwezi kuona hata rafu iliyomtoa Kibu uwanjani haikutengwa, ikawa tu mpira wa kurusha.
Ova