Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Kizazi ambacho wakati wanashikwa mikono na wazazi kwenda uwanjani forward wa Simba alikuwa OKWI.Huwajui Yanga na Simba
Hizi Ni kauli za watoto mliozaliwa leo asubuhi, mkamkuta Mayele.
Hakuna anaeujua mpira wa Simba na Yanga anaongea hivyo