FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Tuna timu ya kawaida sana timu kuanzia kwenye namba sita kurudi nyuma wote ni wabovu nashindwa kuelewa kwanin ngoma anacheza kweny base ya chini wakati hawez kabisa kukaba kapombe shughuli yake imeisha
Tutalia vilio vya aina nyingi sana mkuu. Hizi 5 bora tungepigwa na waarabu tungepata pa kujifucha sio hawa kina skudu na mzize.
 
Mgeni rasmi kazeeka ghafla
9f7777c3f18e4f17ba7fd80368f14586.jpg
 
Back
Top Bottom