FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Manula amecheza kwa sababu ya uhuni wa unaofanyika nje ya uwanja na watani zetu. Mambo ya kuwahiwa tu.

Lazima tutoke haraka kwenye hii mechi ili twende mbele, kama ambvyo tulivyotoka haraka kwenye hisia za AFL.

Ova
Nikumbushe ile slogan ya hii game b...
 
Haki hii ni aibu ya karne, Simba amelia kama paka kabisa nyauuuuu!....
Kupasuliwa goli tano jamani sio mchezo!.....
Ila Pacome ni mtu na nusu!!
Nna raha hapa niliahidiwa uchi na demu moja nikimfunga leo!...namsubiri nae nimpasue vitano kitandani😂😂
ASANTENI WANANCHI KUNIHESHIMISHA NIMEPANDA DAU
 
Just a very bad day in the office, kama kipigo kweli tumetandikwa, tena tumetandikwa haswaa, hakika kupata usingizi usiku wa leo ni ngumu, ikibidi tutafute vidonge vya usingizi angalau vitusaidie kupitisha haya masaa ilimradi pakuche, na hata kesho pakikucha sijui tutakimbilia wapi...

Kazini itakuwa moto...

Mtaani patakuwa moto...

Kwenye daladala itakuwa moto...

Kujifungia ndani nako patakuwa pamoto labda usiwashe radio, wala kusikiliza TV, inshort ikibidi na masikio tuzibe tusisikie kelele za nje, vinginevyo hali ni mbaya...

Na hili baridi la leo Dsm, kweli mtihani tumepewa, tukiuvuka huu tutaamka wanaume zaidi ya jana...

All in all, potelea mbali, Simba SC Nguvu Moja...

Wacha upepo wa kisuli suli upite ..
Am really wearing the painful suit you are passing through now is so heavy my friend...[emoji26]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wana thiiiiiiiiimbaaaaaaaaaa
Uchungu ukizidi ukumbuke na ww ulishamfunga 6 kwa 0.....
Unakunywa maji unalala....
JamiiForums-1509915263.jpg


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
B... unashindwa kuniachia hii siku moja kweli? Hii moja tu nifurahi leo.
Mbona zile za Ahly tulilia wote? Vibaya hivyo b...
Hii ni derby, ina maumivu tofauti kabisa na ile. Sherehe ziishie tu hapa kwa kweli, ukizileta na kule ni kutafuta kupigwa tu.

Ova
 
Back
Top Bottom