FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Kelele nyingi ukuta wa jeriko sijui nini ukuta wenyewe kila leo una leak magoli....alafu hawa jamaa hawajui mpira sifa nyingi wakati yanga wamesajiri watu bwana!

Mbwembwe tuu oh preason mara dubai sijui turkey 🤣🤣🤣🤣🤣
Ujue bana mdomoni unaweza jiona bonge la timu ila ingia uwanjani sasa ndo uhalisia unapoonekana.

Na kufikia hapa ndo wamekubali kuwa timu yao ni mbovu. 🤣🤣
 
Kelele nyingi ukuta wa jeriko sijui nini ukuta wenyewe kila leo una leak magoli....alafu hawa jamaa hawajui mpira sifa nyingi wakati yanga wamesajiri watu bwana!

Mbwembwe tuu oh preason mara dubai sijui turkey
Hivi preseason walifanyia wapi kwel?
 
Wakuu Ndio Nimeamka NGAPI NGAPI Aisee?[emoji23][emoji23][emoji23]
IMG-20231105-WA0050.jpg
 
Msimu Huu Wa 23/24 Tulianza Kwa Kugawa Dose Ya Tano Tano Wakasema Waliopigwa Tano Ni Vibonde. Tuwaulize Tena Wanasemaje?
😂😂😂 nakumbuka tulivyomfunga Asas wakasema Ooh. Majamaa wana njaa hawajala. Yaani kelele zilikuwa kibao.

Tunasubiria sasa kauli yao juu ya hizi tano za jana.
 
Hazikwi mtu...kama nyie hamkuzikwa mlipokandwa 6 huko nyuma basi hata sisi tutasavaivu....
Hatutaki hizo record za zama za kale ambapo mpira haukuwa live kwenye runinga. Enzi za giza. Enzi za RTD tu.
Ongelea zama hizi za Tanzania iliyo endelea kimichezo na teknolojia.

FT: SIMBA 1-5 YANGA
mpaka museme kwanini munaiba wachezaji uwanja wa ndege!!
 
Back
Top Bottom