Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Ujue bana mdomoni unaweza jiona bonge la timu ila ingia uwanjani sasa ndo uhalisia unapoonekana.Kelele nyingi ukuta wa jeriko sijui nini ukuta wenyewe kila leo una leak magoli....alafu hawa jamaa hawajui mpira sifa nyingi wakati yanga wamesajiri watu bwana!
Mbwembwe tuu oh preason mara dubai sijui turkey 🤣🤣🤣🤣🤣
Na kufikia hapa ndo wamekubali kuwa timu yao ni mbovu. 🤣🤣