FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

Nimekaa paleeee πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ™‡πŸ™‡πŸ™‡πŸ™‡

πŸ•ΊπŸ•ΊπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ😁

Go mwarabu gooπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ˜Š
 
Huu upuuzi wa akina auha ndio unanifanya nipate hasira niwatukane watu kama hawa, sasa anataka nafasi gani hapo ili afunge 😑😑
 
Mechi muhimu kama hii mchezaji tegemeo unaacha kutumia nafasi nzuri kama nzuri. Ahoua sometime anakera.
 
Nakumbuka maneno ya babu yangu jana
"Mjukuu wangu usije ukipoteza asili yako, babu yangu mzee Mohsen alizaliwa Misri akahamia Ujiji mwaka ya 1889" sijui alikuwa na maana gani ila nachojua aliwahi kuichezea Al Masry Egypt
Aahaaaa
 
Waarabu wanalinda hahaha πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…