Mmeanza kusema....na mtasema.Simba ni ndugu zetu .... No needs to be divided
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wee em tulia, unasumbua watu bhana,Simba ni ndugu zetu .... No needs to be divided
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ukielewa maana ya ubaya ubwela utahama huko ulipo haha hapo viroho vinawauma dah!Kaingia chakiume!
Kila la kheri Mwaraabuuuuuuu
Yaan tukifuzu hii game, modes watulie, nitanyoosha watu leo hii. Woiiiih.Mmeanza kusema....na mtasema.
Nani aumwe roho subutuuuuuu!! ππππΊπΊπΊπΊπUkielewa maana ya ubaya ubwela utahama huko ulipo haha hapo viroho vinawauma dah!
Bado gemu haijaisha unatakiwa useme hivyo gemu ikiwa imeishaTrust me. Simba anaenda mbele... Mwarabu lazima afe leo.
Acha uchochezi mkuuMmeanza kusema....na mtasema.
MKuu...naww unanitenga[emoji26]Wee em tulia, unasumbua watu bhana,
Hujamboo?!
Hata ukilia bakora ziko palepale kumbuka uliomba mwenyeweMods msinipige ban....nmeahirishaaa [emoji32][emoji32]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app