MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,507
- 4,943
Chiziii wee, ππππNazani ukijikata na wembe yanatoka π
Mbona sentensi nyepesi sana inakushinda kuelewa. Jamaa kasema KWA UCHEZAJI wa hawa Al Masry hajasema KWA UCHEZAJI wa Mc AlgersMC ALGERS walikua wanyakyusa?
Hatariiii hii sasa.πΉπΉπΉ
Hamuendi popote mwisho wenu kwa NkapaHaswaaa.
Wacha tusubirie 90' best sijui leo tutapita wapi sieeeπππ!ππππ uhakika best
Sawaa!!Hamuendi popote mwisho wenu kwa Nkapa
Muhimu usije kusema km ni wewe kwenye id mpya..!!Bado sana
Hapana huyo apewe ban kaiomba sanaβ¦!!Tukishinda inabidi tumuangalie kwa hicho la mama na mwanaee.
Kabisaa yaan, afu tukifika penalt, sioni tukitoboa, bora tushinde humu humu ndani.Waarabu huwa ******* sana tushinde mapema ikifika jioni wataanguka sana
Hawafiki popote hawa na goli zao za kubahatisha bahatishaTayari Robo robo fc pumzi imekata
Bado haujasema tumbo la kuharaKabisaa yaan, afu tukifika penalt, sioni tukitoboa, bora tushinde humu humu ndani.
Pyeeeeeeee pyeeeeee pyeeeeeeee mpira umeishaHapana huyo apewe ban kaiomba sanaβ¦!!
Em tulia wewee, ππππππBado haujasema tumbo la kuhara