Azpilicueta
Member
- Sep 8, 2021
- 85
- 100
Jiunge na channel ya simba watsap madame utapata updates kwa raha sana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiunge na channel ya simba watsap madame utapata updates kwa raha sana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ile mechi ilidukiliwa...ile ya juzi ya trh 5 ?? Tuulize sisis ile mechi iliuzwaaa...full stopKumbe unawajua?. Subiri wacheze na Uto wanavyojilegeza utafikiri sio hawa.
Yani huko ni full raha unajiangalizia tuu mamboJiunge na channel ya simba watsap madame utapata updates kwa raha sana
Aaaah wapiiii!!! Anajistukiaa huyooNi kawaida kusema hivyo ...badae unajirudi huwezi kushabikia mpinzani mwanzo mwenga...ukiona mambo yanaenda ndivyo sivyo unarudi online...
Tatizo ni hela walizopewa na ndugu yao gongowazi sasa zinawatokea kwenye matundu yote mwiliniSingida Wanakula mikadi ya njano kama njugu.....Wamekamia sana
Mbna mie cna hiyo Chanel, hebu nitumie links dyadyaaYani huko ni full raha unajiangalizia tuu mambo
Sikumbuki exactly ila goli la kwanza ni around 50s mins wakati lapili ni nearly 60sNimepata dharura.
Nimetoka kwenye game.
Magoli yamefungwa dakika ya ngapi na ngapi?
Noma sana...Sasa mbona hao wasaliti mpaka leo hawajaadhibiwa ?Ile mechi ilidukiliwa...ile ya juzi ya trh 5 ?? Tuulize sisis ile mechi iliuzwaaa...full stop
Sio ya Juzi Tu hata za msimu uliopita utafikiri wanajifunza kucheza. Hao ndio wanawadanganya uto ndio maana Kimataifa wanajikongoja. Bahasha.Ile mechi ilidukiliwa...ile ya juzi ya trh 5 ?? Tuulize sisis ile mechi iliuzwaaa...full stop
Si una watsup? Kule kwny status zako angalia chini utaona sehemu imeandikwa channels utaaangalia hapo utakuntana na chanels za mitimu mikubwa mikubwa...na kina Samia suluhu pia wapo na Simba utaikuta humo then utafollow..nadhani haina link..Mbna mie cna hiyo Chanel, hebu nitumie links dyadyaa
Iliuzwa ulozini...Noma sana...Sasa mbona hao wasaliti mpaka leo hawajaadhibiwa ?
Naunga mkono hoja mtaniNi kawaida kusema hivyo ...badae unajirudi huwezi kushabikia mpinzani mwanzo mwenga...ukiona mambo yanaenda ndivyo sivyo unarudi online...
HNimekupata point yako..Sio ya Juzi Tu hata za msimu uliopita utafikiri wanajifunza kucheza. Hao ndio wanawadanganya uto ndio maana Kimataifa wanajikongoja. Bahasha.
Huna hapo mfukoni umpe?Huyu dogo Salim angepewa Kadi nyekundu ingependeza sana.