FT: Simba SC 2 - 0 Singida Fountain Gate | Mapinduzi Cup| Aman Complex | 03.01.2024

FT: Simba SC 2 - 0 Singida Fountain Gate | Mapinduzi Cup| Aman Complex | 03.01.2024

Huyu Ngoma anataka kuwa kama Shabalala wa zamani. Akipata mpira akili yake inawaza nyuma badala ya mbele
 
Ni kawaida kusema hivyo ...badae unajirudi huwezi kushabikia mpinzani mwanzo mwenga...ukiona mambo yanaenda ndivyo sivyo unarudi online...
Aaaah wapiiii!!! Anajistukiaa huyoo
Akae kwa nywilaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bocco ni msafisha njia..anaingizwa ili awape tension kidogo huko mbele golini then anapisha watu wenye pumzi wanaingia kipindi cha pili
 
Nimepata dharura.
Nimetoka kwenye game.
Magoli yamefungwa dakika ya ngapi na ngapi?
Sikumbuki exactly ila goli la kwanza ni around 50s mins wakati lapili ni nearly 60s
 
Ile mechi ilidukiliwa...ile ya juzi ya trh 5 ?? Tuulize sisis ile mechi iliuzwaaa...full stop
Sio ya Juzi Tu hata za msimu uliopita utafikiri wanajifunza kucheza. Hao ndio wanawadanganya uto ndio maana Kimataifa wanajikongoja. Bahasha.
 
Mbna mie cna hiyo Chanel, hebu nitumie links dyadyaa
Si una watsup? Kule kwny status zako angalia chini utaona sehemu imeandikwa channels utaaangalia hapo utakuntana na chanels za mitimu mikubwa mikubwa...na kina Samia suluhu pia wapo na Simba utaikuta humo then utafollow..nadhani haina link..
 
Huyu Kapombe kila mpira anaopewa yeye huwa anawaza kumwaga maji tu, kibaya zaidi huwa anapiga tu bila kujua itakutana na nani huko kwenye 18.

Ubunifu zero kabisa.
 
Back
Top Bottom