Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Maombi yako Gamondi kayasikia jipe moyo mkuu, ila tambua kuwa Simba sio vibonde wa Ihefu bali Uto ndio vibonde nguli wa walima mpunga wa Mbarali.Kila la heri IHEFU piga mbumbumbu hao.
Hakuna mechi hapo Simba anajipigia za kutosha wame invest hapo.Japo Mimi ni mchambuzi ( neutral)
Lkn nawaunga mkono mbogo maji ihefu...
Kutoka AFL mpka kucheza na Ihefu! zile kelele za sisi ni wakubwa kwisha maregeya
Kolo kama kolo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huu uzi umepoa sana kunani?
Tunasubiria magoli tuje tushañgilie tuwakere utopoloUsishangae hadi saa 2 Comment elfu 1