FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

Mchezaji pekee wa Azam fc anayeweza kuanza kwenye kikosi cha simba ni Fei. Hivyo kipondo mtakachopata leo ni halali yenu.
Kabisa wachezaji wao ni uozo kwa mfano yule Sillah hamna kitu kabisa hawezi hata kumfikia kibu
 
Musa Camara naye awe mkali kwa defence ya Simba basi! Kidogo wamchomeshe tena, ila yeye akidaka mpira ni kuanzisha mchezo tena. Mbona Mohammed Mwameja alikuwa anapigaga makofi wajinga wajinga kama hawa?
Msimu huu goli kwa aslimia 90 kafungwa kwa uzembe wa kijinga wa mabeki na DM wake...anatakiwa awe ndava ana kera hamuoni mwenzie Diarra acheki na nyani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…