FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

Mzizima Derby!
All the best.
Tuone mpira mzuri.
Atakaye shinda kila la kheri
 
Hii mechi Azam hata kama ni tawi, bado wanatakiwa wapambane ili washinde na hivyo kufufua matumaini yao ya kushika nafasi ya pili kama walivyofanya msimu uliopita.
 
Hii mechi Azam hata kama ni tawi, bado wanatakiwa wapambane ili washinde na hivyo kufufua matumaini yao ya kushika nafasi ya pili kama walivyofanya msimu uliopita.
Sasa azam akishika nafasi ya pili we si utaenda kucheza shirikisho?
 
Kila la heri Simba. Nawatakia heri ya ushindi wa goli 2 yakizidi ni bonus.
 
1740379045213.png
 
Hii mechi Azam hata kama ni tawi, bado wanatakiwa wapambane ili washinde na hivyo kufufua matumaini yao ya kushika nafasi ya pili kama walivyofanya msimu uliopita.
Azam hana nafasi ya kushika nafasi ya pili msimu huu na nafasi ya tatu ni kama ameshajihakikishia kuichukua ukiangalia mwenendo wa Singida. Hii mechi siyo muhimu kihivyo kwa Azam.
 
Pamoja na kwamba sifagilii kuhonga, ila mechi ya leo wanangu ikibidi tuhonge tu, huu msimu wetu huu. Kama tumeamua kufanya ubaya ubwela, wala tusiwe na soni usoni. Ikiwezekana Azam watupe hata goli 6, mbona fuleshi tu.

Tuna maadui wengi sana, tukipata rafiki mmoja tushikamane naye.
 
Oya Azam msisahau Agano tafadhali. SSC tunahitaji saaana huu mchezo
 
Back
Top Bottom