FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

[emoji881]
Kila la kheri, ushindi ni muhimu sana kwetu.
[emoji120][emoji120]
 
Azam Huenda ikaenda na wachezaji wafuatao mchezo dhidi ya Simba.

1. Mohamed Mustafa.
2. Lusajo Mwaikenda.
3. Pascal Msindo.
4. Yeison Fuentes
5. Yoro Diaby
6. yahya zayd.
7. Iddi Nado.
8. James Akamiko.
9. Nassor Saadun.
10. Feisal Salum.
11. Djibril Sillah.

Wachezaji watakao kosekana ni.
Lusajo mwaikenda.
Sospeter Bajana.
Adolf mtasingwa.
 
Simba huenda nao wakawa hivi.
1. Moussa kamala.
2. Shomari kapombe.
3. Mohamed Hussein.
4. Hamza Jr.
5. Chemalone Fondoh.
6. Yusuph kagoma.
7. Kibu Dennis.
8. Fabrice Ngoma.
9. Leonel Ateba.
10. jean charles Ohua
11.. Elie Mpanzu kibisawala.
 
AZAM KUIKAZIA YANGA TU, SIO KWA SIMBA

LEO SIMBA ANASHINDA, NO WAY LABDA YATOKEE MAAJABU YA SOKA
 
Hii mechi Azam hata kama ni tawi, bado wanatakiwa wapambane ili washinde na hivyo kufufua matumaini yao ya kushika nafasi ya pili kama walivyofanya msimu uliopita.
Mkuu si ukiri tu unaomba Simba asimalize viporo kwa kushinda maana utarudi nafasi ya pili na Azam ndo wa kukusaidia hilo?
 
Refa ni Arajiga, tobaaah huyu ametumwa kuja kuivuruga Simba.
Silipendi hili li macho kengeza, shabiki lia lia wa utopolo,
Mxxxxxiiiiiieeeeew
 
AZAM KUIKAZIA YANGA TU, SIO KWA SIMBA

LEO SIMBA ANASHINDA, NO WAY LABDA YATOKEE MAAJABU YA SOKA
Kimoyomoyo unaomba azam ashinde. yaani hakuna namna safari hii atakaye na aje anakula kipigo hata nyuma mwiko trehe 8 anakula nusu ya 8
 
Hakuna namna Azam itamfunga Simba hakuna kwamba ni kwa kupanga au battle ya uwanjani Azam mayai sana kuanzia wachezaji kocha hadi mashabiki wao
 
Back
Top Bottom