Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,063
- 2,566
Ngoma inaenda 1-1 hiyo!Kila la kheri Simba SC.
FT: Simba SC 2 vs 0 Azam FC.
umefurahi na nani? Jisemee nafsi yako mkuu!Tumefurahi sana alivyokuwahi ungeitia laana timu yetu.
🤣🤣🤣tulia wewe ubingwa mtausikia kwenye redio round hii ninyi 🐸🐸🐸Fatuma vs Fetty
Sasa azam akishika nafasi ya pili we si utaenda kucheza shirikisho?Hii mechi Azam hata kama ni tawi, bado wanatakiwa wapambane ili washinde na hivyo kufufua matumaini yao ya kushika nafasi ya pili kama walivyofanya msimu uliopita.
Azam hawataki hata kusikia hiyo nafasi wao vita Yao ni 3Hii mechi Azam hata kama ni tawi, bado wanatakiwa wapambane ili washinde na hivyo kufufua matumaini yao ya kushika nafasi ya pili kama walivyofanya msimu uliopita.
Azam hana nafasi ya kushika nafasi ya pili msimu huu na nafasi ya tatu ni kama ameshajihakikishia kuichukua ukiangalia mwenendo wa Singida. Hii mechi siyo muhimu kihivyo kwa Azam.Hii mechi Azam hata kama ni tawi, bado wanatakiwa wapambane ili washinde na hivyo kufufua matumaini yao ya kushika nafasi ya pili kama walivyofanya msimu uliopita.