FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

Mechi za matawi ndio zinakuwa na ushindani wa hivi sio zile za upande wa pili wa asante mdhamini
 
Simba ni lazima apewe penati...
IMG_5421.jpeg
 
Camara ongea na mabeki wanaleta usenge now ,tutafungwa sasa hivi
 
Simba anafanya makosa saana, akikutana na timu ambayo inatumia makosa vizuri basi atapigwa nyingi sana, yaani wanaacha space then kurecover zile space hawawezi, sema Azam hawana timu lakini wanaifunga simba vizuri tu, yaani yanga naona akimpiga simba nyingi tu, kwasababu ya makosa ambayo wanafanya simba, wanacheza slowly saana
 
Kibu mchezaji wa moments usimtegemee kwenye kila tulio anaweza kukufurahisha na kukukera
 
Back
Top Bottom