Mi nachokiona hapa wewe ndio unayetokea nyuma nyuma na kuanza kutunanga.Kuwa mkweli Mtani yaani watu wanatokea nyuma na kuscore goli mbili halafu unasema sio mbaya.
Acha utani banaa. 😅
Ubao unasomaje huko?Mbweha leo cha moto anakiona 🤣🤣🤣
View attachment 3115218
Yanga ni masifa pro max kwenye derby lazima mnara wa 3G usome kwa Mbumbumbu fc otherwise hakikisheni Sasii ndie Pilato.Siamini yaani niliacha ubao 2-0 narudi nakuta Coastal wamefanya comeback ya ajabu. Shida ni nini wanasimba?
Pia tuzidi kuomba mechi ijayo uto nao watoe droo au wafungwe kabisa
Mtego KakaMpaka nduguyo anakukazia sisi ni nani tusikufunge?
SawaNahamia rasmi Simba
Jishikilie haswa, sio kirahisi rahisi tu kuwa bingwa.Mbona kelele mingi..? Kumbe tumedroo tuu...
Tulieni jishikilieni vzr msitingishike...
Simba Bingwa....
yamekuwa haya tena?Ni matokeo mazuri kwa Simba , timu ilikuwa na madhaifu mengi ambayo yalikuwa hayaonekani sababu walikuwa wanapata ushindi.
Mpaka Sasa timu haina muunganiki Kila mchezaji anacheza anavyojua, kocha hawapi nafasi wachezaji wengine amekuwa ni mtu wa kukariri.
Kama watayachukulia kwa mtazamo chanya watasonga mbele Ila Kama watayachukulia kw mtazamo hasi itawakost.
Poleni sana.Mtego Kaka
au sio mshukuruni refaree mngekula cha 3Simba ya sasa ni kama Man city huna hofu yaniii...hofu wanakua nayo hao wa chini wanaokanyagwa hapo kwny msimamo...😃😃😃😃
Kila mwaka litimu lao likianza kufanya vibaya lazima waanze kuziulizia😂😂😂, napendaga sana Simba ikivurugana🤪Usisahau na zile bilioni 20 zitauliziwa
Hii confidence huwa naizimia sana, mbumbumbu huruka nayo kuanzia mwanzo wa ligi hadi siku wanapokimbia kuvalishwa nishani za loosers third position!!Mbona kelele mingi..? Kumbe tumedroo tuu...
Tulieni jishikilieni vzr msitingishike...
Simba Bingwa....
Kelele zimezidi na litimu lao libovu swahibaHilo halina ubishi swahiba.
Simba haina tofauti na kagera sugar,Ha ha ha! Ni maombi tu, Tena wala huna haja ya kwenda kwa Mwamposa" unaweka vifungu, unapiga maombi!
Hawa Simba idadi yao ya magoli inatutesa, wanatakiwa kuondoka kwa point, wanaendelea vizuri, hili gap hawataliziba!
Tulimuambia camara asiwe anajaribu kumuiga diarra,leo ndio atayakumbuka maneno yetuKuwa mkweli Mtani yaani watu wanatokea nyuma na kuscore goli mbili halafu unasema sio mbaya.
Acha utani banaa. 😅
🤣🤣🤣😂
HayaLeo ndo tunaangalia burudani sasa,
... maana Mechi ya jana ya Yanga ilikuwa ni zaidi ya maigizo yani haiwezekani Wachezaji wa Yanga wanakimbilia Golini kwa pamba wakafunge alafu wachezaji wa Pamba wanawafata huku wanatembea.
Pale ndo nikaelewa kwann yule Gabachori huwa anasema tu Yanga bingwa.