maharage ya ukweni
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,415
- 3,213
Yanga ni timu kubwa sasa hivi tunacheza kulingana na mahitaji ya mechi.Hiyo tarehe tutakachokifanya kuna mtu ataanza kudai 20bs zake,naamini tunaweza tusicheze mpira mwingi ila watu watakuwa wanashangaa tu mipira impinging wavuniMakoloo wameyakanyagaa Sasa,wanakwenda kukutana na Yanga wakiwa na wengee lakutosha afu Yanga wamempa confidence hatarii.Watakula vyuma 7 daaaadeki.
Kama la Ken GoldHivi Mnaona magoli ya costal yalivonyoooka
Makolokolo Bingwa au Bingo?Mbona kelele mingi..? Kumbe tumedroo tuu...
Tulieni jishikilieni vzr msitingishike...
Simba Bingwa....
Nilichopenda kuhusu magoli ya Coastal ni kuwa hayana utata hata kidogo.FULL TIME
SIMBA 2
COASTAL 2
Nimesajiliwa na Simba SC kucheza namba ngapi labda?GENTAMYCINE ilunasemaje?
🤣🤣🤣 Pole sana Mtani.🤣🤣🤣😂
Naam mtani, hatujambo. Uwezo wetu ndio umeishia hapo kwa leo.
Hili jambo nilikua namwambia mtu jana magoli mengi ya simba ni beki amekosea yaani amecheza boko yanatokea tu out of nowhere hayatengenezwi kwa timu hiyo sio dalili nzuri kwa timu inayopigania kombe na mafanikioUwezo wa kutengeneza CLEAR CHANCE upo chini sana...
Fuatilia magoli mengi ya SIMBA 80%...sio ya kiufundi..
Tatizo cjui kuwa ni nature of PLAYERS au mfundishaji ...?
Lilikuwa ni swala la muda tu Swahiba.Tulimuambia camara asiwe anajaribu kumuiga diarra,leo ndio atayakumbuka maneno yetu
Lilikuwa ni swala la muda tu Swahiba.Tulimuambia camara asiwe anajaribu kumuiga diarra,leo ndio atayakumbuka maneno yetu
Hakika swahiba,ila bado mambo bado kabisa leo ni trailer tuLilikuwa ni swala la muda tu Swahiba.
😅😅😅Hakika swahiba,ila bado mambo bado kabisa leo ni trailer tu