FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024

FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024

COASTAL UNION wameahidi kabisa watazuga tu uwanjani lakini wameshapokea pesa ya SIMBA SC. na wataenda kuwaachia Point 3

Mo kashamaliza mchezo mezani
 
Mbweha leo cha moto anakiona 🤣🤣🤣
Screenshot_20241003-124036_Chrome.jpg
 
Mpaka sasa simba hii mechi ishakua rahisi kwao muda mwingi wanapasiana kama mazoezi
 
Mechi ya maelekezo golikipa na beki wake wamebeti.
 
Back
Top Bottom