FT || Simba Sc 2 Vs 2 CSKA Moscow

FT || Simba Sc 2 Vs 2 CSKA Moscow

Modes badilisheni hapo score bord ni 2 kwa 2
 
Sasa waje na ishu ya tumecheza na boda boda au waje na msimamo wa ligi au kikosi cha ngapi mkuje mseme maripota wetu tumekaa hapa
 
Yaani watu wana sherekea mechi ya kirafiki kutoa sare. Hakika kweli faraja ni jambo la muhimu katika maisha ya binadamu ukikosa basi fosi hata upumbavu ukupe furaha.
 
Sasa waje na ishu ya tumecheza na boda boda au waje na msimamo wa ligi au kikosi cha ngapi mkuje mseme maripota wetu tumekaa hapa
Mbivu na mbichi itajulikana kwenye michezo ya kimashindano. Kama unakumbuka msimu ambao mnatolewa kwenye klabu bingwa na Galaxy, Simba ilicheza michezo ya kirafiki ya kimataifa na vilabu vya maana tu na haikupoteza mechi. Lakini ilipokuja mechi za kimashindano ikaleta taswira tofauti. Mechi ya kirafiki mnayosherekea nayo au kubezwa nayo kwa matokeo haiwezi ku reflect chochote katika mechi za kimashindano
 
Yaani watu wana sherekea mechi ya kirafiki kutoa sare. Hakika kweli faraja ni jambo la muhimu katika maisha ya binadamu ukikosa basi fosi hata upumbavu ukupe furaha.
Unabweka ukiwa wapi we mbwa?
 
Back
Top Bottom