Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja watu waka google lakini pia sio mbaya ikapatikana kikosi kilichocheza leo ili ifahamike timu imejipima nguvu na wachezaji wa aina gani wa CSKA Moscowutopolo og njoo utuambie CSKA Moscow ni ya ngapi kwenye ligi ya Russia?
Akikujibu nistue tafadhali Chifu [emoji23]Ni kweli ila je Wachezaji waliyoifunga Real madrid goli 3 una uhakika ndio hao waliopangwa leo?
Wewe ni mbwaKikosi cha 3 cha CSKA kinawahenyesha makolo.
Ngoja nikutafutie kopo la kumwaga hayo machozi yakoNgoja watu waka google lakini pia sio mbaya ikapatikana kikosi kilichocheza leo ili ifahamike timu imejipima nguvu na wachezaji wa aina gani wa CSKA Moscow
Hawezi kujautopolo og njoo utuambie CSKA Moscow ni ya ngapi kwenye ligi ya Russia?
Wakikujibu nitagKyombo kama kazaliwa upya
Nb unitajie mchezaji wa utopolo aliwafunga wqzungu mwaka huu 2023
We ulitaka afungwe Nani come back from 2_0 to 2_2 mbona utoporo alishawai shangilia kama hii au ukumbuki? TukukumbusheYaani watu wana sherekea mechi ya kirafiki kutoa sare. Hakika kweli faraja ni jambo la muhimu katika maisha ya binadamu ukikosa basi fosi hata upumbavu ukupe furaha.
Kyombo kafunga bao lapili huko
Mbivu na mbichi itajulikana kwenye michezo ya kimashindano. Kama unakumbuka msimu ambao mnatolewa kwenye klabu bingwa na Galaxy, Simba ilicheza michezo ya kirafiki ya kimataifa na vilabu vya maana tu na haikupoteza mechi. Lakini ilipokuja mechi za kimashindano ikaleta taswira tofauti. Mechi ya kirafiki mnayosherekea nayo au kubezwa nayo kwa matokeo haiwezi ku reflect chochote katika mechi za kimashindanoSasa waje na ishu ya tumecheza na boda boda au waje na msimamo wa ligi au kikosi cha ngapi mkuje mseme maripota wetu tumekaa hapa
Nawewe una uhakika gani kuwa sio?Ni kweli ila je Wachezaji waliyoifunga Real madrid goli 3 una uhakika ndio hao waliopangwa leo?
Unabweka ukiwa wapi we mbwa?Yaani watu wana sherekea mechi ya kirafiki kutoa sare. Hakika kweli faraja ni jambo la muhimu katika maisha ya binadamu ukikosa basi fosi hata upumbavu ukupe furaha.