FT: Simba SC 3-0 Namungo FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.10.2024

Kuna wachezaji Simba ni wajinga hadi inakera. Utadhani wameokotwa Tandale vile. Sijui kwanini hawaoni umuhimu wa kushinda kwa magoli mengi wanapokutana na hizi timu dhaifu
Speed inatakiwa ianzishwe na mabeki. Kama mabeki wanapenda kukaa na mipira, kupasiana pasi zisizo na maana na kurudisha mipira nyuma inayotakiwa kwenda mbele, washambuliaji na viungo nao lazima watapoa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…