FT: Simba SC 3-0 Namungo FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.10.2024

Sisi Namungo hata tukipata tu sare kutoka kwa Kaka yetu, inatutosha. Ila kwa bahati mbaya Mgunda atahakikisha hata hiyo sare nayo haipatikani.
Na sisi Uto tuna topolo wenzetu kibao kibao wanaotuhakikishia tunapata ushindi.. Mwambusi, Minziro, Maxime, Zahera, ...
 
Naona Ateba anaanzia Benchi leo.

Ngoja tuone
 
Hii game ya leo tunampiga mtu 4+
 
Reactions: Tsh
Djuma Shabani ni majeruhi?
 
Ni poa sana kumuona Mukwala

Leo lazima afanye kitu kumu-impress coach
 
Hakuna mechi hapo kocha wao wa sub Juma Mgunda yupo tayari kwa lolote kule pembeni ni Majaliwa kama mwanachama mwaminifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…