ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 3,832
- 11,964
Halafu simba waache kabisa back passes au.pasi za kukadiria wakiwa golini kwao. Uwanja si rafiki, halafu uwanja wa mbona kama maji yanatuama kabisaHawajazoea,Yanga ndio wataalam wa kutumia viwanja vyenye changamoto.
Hii game BM ataogelea hadi kwenye eneo la penaltywalioruhusu mpira uchezwe ni watu wa hovyo
Kesi ya CAS ifufuliwe.BM333333333333333333
kweli kabisaKesi ya CAS ifufuliwe.
Onyango anamudu wing back 2 alafu Kenedy anasimama 4 kesi inamalizwa.Daah Israel akiumia hakuna sub