Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Wanamletea dharau sana Mgunda Hawa watu wa Simba.Mgunda popote ulipo anza kuandaa jeans zako 😀😀
Umeamini we kochoUnaota
Unasema??Unaota
Usikute umeinuka kushangilia.Hivi kweli KIBU DENNIS, simba iliishiwa maarifa hadi kumbembeleza abaki ....
Baada ya kumpoteza CHAMA , simba ina struggle sana kupata ubunifu....
Utaona jinsi ATEBA anavyoteseka kupewa pasi za maana..
Ulijuaje?Wanetu mnapata goli sasa hivi
Simba ongezeni nyingine 2.....Goooal SSC 1 - 1 AHL
Kibu Baba....!