FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

refa wa leo anawabeba nyau, yule aliye pita hakuwa na ujinga kama huyu
 
Hivi kweli KIBU DENNIS, simba iliishiwa maarifa hadi kumbembeleza abaki ....
Baada ya kumpoteza CHAMA , simba ina struggle sana kupata ubunifu....
Utaona jinsi ATEBA anavyoteseka kupewa pasi za maana..
Usikute umeinuka kushangilia.

Maisha bila unafiki hayaendi.
 
Back
Top Bottom