FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

Match Day.
View attachment 3102741
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO
View attachment 3103260
#nguvumoja#

2'
Mpira umeanza hapa Kibu anapoteza mpira wakati anakimbia kufanya mashambulizi.

16'
Mabululu anaipatia Al ahly Tripoli goli la kuongoza.
0-1
Nipo na mtanzania mwenzangu hapa kwangu anashabikia ahly tripol ya libya.

Anasikitika TU hapa THIS IS SIMBA YAAN NI FURAHA.
""ONE MISTAKE ONE GOAL 🥅"
 
Mechi mbovu kichizi...hamna ladha ya mpira...hao wote nikikutana nao ninabonda vibaya mnooo
 
Mgense huyu mchezaji wewe crucial game unaleta mbwembwe kwenye eneo hatari
Wamepata advantage kubwa sana kutangulia goli moja tena away, wachezaji wenye akili na kocha mwenye akili ni kuhakikisha mipira haikai ndani 18 yako ili kipindi cha kwanza kiishe kwa kuongoza. Ila upuuzi wao umewaponza wanastahili kutolewa kabisa wakajifunze kukomaa kiakili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…