FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

Nilikuwa najiuliza sana hivi Badru kaona nini kwa Ateba mpaka aombe aletewe Ateba ambadili Fred Koublan....!

Kuna kitu cha Ziada Ateba Kaonyesha..!

Sasa wana Lunyasi hapa tuendelee kunywa Mtori , bila shaka Nyama tutazikuta chini..
 
Ivi Kuna maneno mabululu kuandika akiwa anashabgilia goli lake?! Mwenye amesoma atuambie.

Simba chama kubwa.
 
Nilikuwa najiuliza sana hivi Badru kaona nini kwa Ateba mpaka aombe aletewe Ateba ambadili Fred Koublan....!

Kuna kitu cha Ziada Ateba Kaonyesha..!

Sasa wana Lunyasi hapa tuendelee kunywa Mtori , bila shaka Nyama tutazikuta chini..
Kwa ile pasi ya beki, hata Jobe akuachi pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…