FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

Yani hii ndo mechi kali na wachezaji wenye viwango so far mpk sas hivi
 
Ngoja tar 16 tuje tusambaratishe tena hiki kikundi cha wahuni, maana akili zao fupi kweli maana wanajisahau kwa vitu vidogo mno
Ssa huyu wa kumfunga leo ndo ujione na wew una timu?!!
Umeshabadilika. Unakuwa kama yule samaki mwenye jinsia mbili akishindwa kupanda anapandwa. Wewe si ndio ulikuwa unasema Simba mbovu itafungwa na hao wajomba zako waarabu
 
Gola zuri. What a counter attack. Kilichobaki ni kuanza kuwatupia makopo ya maji kama walivyotufanyia kule kwao.

Tuwapige hata jiwe 1 tu mmoja wao amwage damu. Majinga sana haya maarabu.
Tuache kushangilia tuhangaike na makopo?πŸ™„πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…